Mawasiliano

Kwa mawasiliano;
Maalim Saad
Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

62 comments:

 1. Assalam o alykum sheikh, je mnapatikana wapi. ........

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Saad Ibrahim
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
  2. Mkuu kwa sasa unapatikana kwa namba gan whatsapp

   Delete
  3. Ndugu Maestro unaweza kunipata mimi kwa hizi njia mbili hapa chini Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
 2. Asante sana na wewe ndugu Daudi Kipaa ubarikiwe God Bless you amin.

  ReplyDelete
 3. Nimeipenda hii. Niko na tatzo hilo,nipe cellphone yako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Alphaxard Semen Raymond Nambaya Simu yangu ya mkono hii hapa +90 534 450 8169 Unaweza pia kuni Add kwenye Whats App yako hiyo hiyo namba yangu tukawa tunazungumza moja kw amoja.

   Delete
 4. Replies
  1. Ndio mimi Tabibu wa Tiba Mbadala unasemaje ndugu.Dennis Mushi?

   Delete


 5. Mzizimkavu mwenyezi Mungu ukuzindishie neema na maarifa zaidi kwa huduma yako unayotoa JF.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante sana atuzidishie kwa sote Mwenyeezi mungu ndugu Daud Kipara.

   Delete
 6. Namimi Nina shida tabibu naomba msaada

  ReplyDelete
 7. Naomba unijibu kwa pm kule jf ndo itakuwa rahisi kukuelewa!

  ReplyDelete
 8. Salaam.
  Ndugu, nnasumbuliwa Na nyayo kuwaka moto, nilipaka kitunguu swaumu, maumivu yakakusanyika katikati, naomba ushauri zaidi wa jambo hili.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Benjamin Mangula kama unaweza tupate Ku Chat kwenye What's App niadd kwa hiyo namba yangu +905344508169 au nitumie Email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kukujibu vizuri.

   Delete
  2. Asalaam aleykum sheikh.Nimesoma kuhusu uchawi wa GHASKHINI nimevutiwa na uliyo yaandika na pia tatizo la miguu kuwaka moto pia,yote hayo nalinganisha na mambo yaliyo/yanayo nipata... naomba tuwasiliane kwa e-mail yangu:
   allyomary573@gmail.com
   ahsante

   Delete
 9. Ninasumbuliwa na FIZI kutoa damu hazina maumivu wala meno hayaumi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Mcherewanini una matatizo ya ukosefu wa Vitamin c mwilinimwako kanunuwe Vidonge vya kuongeza vitamin c mwilini na upendelee kula machungwa kwa wingi tatizo lako litaisha

   Delete
 10. Naomba namba zako nikutafute @mzizi mkavu

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 11. Unaweza toa huduma mpaka Mikoani? Kama Arusha.. @mzizi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ndugu Peter Mbwambo ninatoa huduma kila sehemu nchini Tanzania unaweza kunitafuta Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 12. Msaada nasumbuliwa bawasir leo ni siku ya nne naweza pata tiba kwako na nibei gani

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 13. Naomba unisaidie mm sijapat brid huu unaingia mwez wa pil then natokwa na huo uchafu hil ni mweup masaa mengin ni wanjano na tu


  mbo linaum san kotekote naomb msaad wako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tafuna ufuta kiasi cha kijiko kimoja kila siku mara tatu. Fanya hivyo hadi upate hedhi. Ni bora zaidi kula ufuta kabla ya zile siku ambazo hedhi hutoka na uendelee wakati inapotoka hedhi. Dawa hii ni hatari kwa mwanamke mja mzito, hivyo atahadhari nayo,na tangu hapoyeye haimuhusu.

   Delete
 14. Naomba unisaidie mm sijapat brid huu unaingia mwez wa pil then natokwa na huo uchafu hil ni mweup masaa mengin ni wanjano na tu


  mbo linaum san kotekote naomb msaad wako

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tafuta msonobari,uwatu na Ubani mweuepe twanga hizo dawa kisha uchemshe nusu unywe na nusu uweke pamba kisha uweke sehemu yako ya siri,yatatoka maji mnengi usiogope hiyo nimwanzo wa kutumia dawa. tumia hiyo dawa kwa muda wa siku 7 kutwa mara 3 asubuhi mcha an usiku. Wakati unapochemshahiyo dawa tia majiglasi 3 ichemke kwa muda wa dakika 10 kisha ndio utumie hiyo dawa kwa siku 1 utakuw auanongeza maji. Nakesho yake fanay kama ulivyo jana yake Dawa kanunuwe kwenye maduka ya dawaza kisuna uliza utapata.

   Delete
 15. Kwel hili tatizo ni kubwa sana kwa kizazi hiki

  ReplyDelete
 16. Nina upara jamani niana miaka ishirini nakwetu wote awana bipara ninini

  ReplyDelete
  Replies
  1. Tuwasiliane ndugu Jackson Kimboti Kwa mawasiliano;
   Maalim Saad
   Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp) Viber +90 534 450 8169

   Delete
 17. Phone pls, Namba yangu ni 0712898080,, Nnashida naomba msaada

  ReplyDelete
  Replies
  1. Haya mimi nina ku add kwenye What's App ili tupate ku chat unasemaje?

   Delete
 18. Mzizi mkavu nimekupm nimekuwhatsapp pia nna UTI imetibiwa sasa ni Mara ya tatu inansumbua inarudi nikimaliza dozi napumzika inarudi

  ReplyDelete
 19. Mzizi mkavu nimekupm nimekuwhatsapp pia nna UTI imetibiwa sasa ni Mara ya tatu inansumbua inarudi nikimaliza dozi napumzika inarudi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hakuna wasiwasi tutazungumza kule What's App

   Delete
 20. mkuu habari yako aisee naomba ushauri wako na matibabu pia nasumbuliwa na fungus sehemu za siri kwa muda mrefu kila dawa ninayopatiwa hosptal inagonga mwamba nisaidie ndugu nahisi changanikiwa

  ReplyDelete
 21. Mzizimkavu nafuatilia sana mada zako na zinanisaidia sana,tuna group letu la whatsap ambalo limetokana na wana jf,naomba tukuadd kule ili uwe unatusaidia baadhi ya maswali,
  Email yangu dannybanata@gmail.com.

  ReplyDelete
 22. Mzizimkavu nafuatilia sana mada zako na zinanisaidia sana,tuna group letu la whatsap ambalo limetokana na wana jf,naomba tukuadd kule ili uwe unatusaidia baadhi ya maswali,
  Email yangu dannybanata@gmail.com.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ok poa hakuan shida ndugu danny banata

   Delete
 23. Mzizimkavu Mungu akubariki sana kwa huduma unayotupa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante an wewe Mungu akubariki Aamin

   Delete
 24. Habari yako Dr. mimi ninaswali nimeanza kutumia hiyo tiba ya habbatsouda ila natumia na asali na leo ni siku ya 7 kama siko sei ila nimeanza kutapika vitu vichungu kila ninapo itumia je unaweza nishauri hapo?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umetumia hiyo Habbat Soda na Asali kwa ajili ya kujitibia maradhi gani Bibie Martha Geofrey?

   Delete
 25. Mti mkavu habar yako naomba unisaid ie dawa ya kutia fibroid Bila ya operetion

  ReplyDelete
  Replies
  1. Bi Fatima Ukitaka dawa ya kukutibu Maradhimyako ya Fibroid pasipo na kufanya Oparesheni dawa ninayo unawezakuwasiliana an mimi kwa njia mbili hizi hapa Barua pepe: fewgoodman@hotmail.com
   Simu (Whatsapp)#: +90 534 450 8169

   Delete
 26. Mti mkavu shkamoo naomba kujua jinsi ya kutibu jipu kiasili

  ReplyDelete
 27. Mti mkavu shkamoo naomba kujua jinsi ya kutibu jipu kiasili

  ReplyDelete
 28. mti mkavu vipi sis tusiotumia email wala whatsap unatusaidiaje?

  ReplyDelete
 29. mti mkavu vipi sis tusiotumia email wala whatsap unatusaidiaje?

  ReplyDelete
  Replies
  1. Huyu mzizimkavu na fadhili paulo wamekuwa kwa muda mrefu wakifanya uharibifu katika kazi zangu. Wanatembelea website zangu www.lifeclini.com na wwww.nguvuzakiume.com na kuiba makala zangu na kuposti katika blogu zao. Ni wazi hawa wanatafuta kujinufaisha kupitia kazi za watu wengine. Nakuombeni mtoe makala zangu haraka sana. Na msiwaamini watu hawa hawajui chochote.

   Delete
 30. Huyu Mzizimkavu anaiba makala kutoka katika vitabu vyangu: Vyakula vinavyotibu nguvu za kiume, na kitabu sababu za kupungua nguvu za kiume, halafu anarusha kwenye blogu zake. Usiibe kazi za watu kwa kutafuta umaarufu, fanya kazi zako. Usikopi kazi za watu na kuposti kwako. Nimesharipoti katika vyombo husika, naomba haraka utoe hizo makala

  ReplyDelete
 31. Huyu mzizimkavu na fadhili paulo wamekuwa kwa muda mrefu wakifanya uharibifu katika kazi zangu. Wanatembelea website zangu www.lifeclini.com na wwww.nguvuzakiume.com na kuiba makala zangu na kuposti katika blogu zao. Ni wazi hawa wanatafuta kujinufaisha kupitia kazi za watu wengine. Nakuombeni mtoe makala zangu haraka sana. Na msiwaamini watu hawa hawajui chochote.

  ReplyDelete